Mwenyekiti
wa chama cha waandishi wa habari Arusha(APC) Claud Gwandu akimkaribisha
Rais wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania kutoka (UTPC) Keneth
Simbaya katika ofisi za chama hicho
Viongozi wa chama hicho wakimsikiliza Rais wa vilabu
Rais Keneth Simbaya akiongea na viongozi wa chama cha waandishi wa habari Arusha(APC)Hapa nikishow love na mwandishi mkongwe Edward Selasini katika ofisi za APC
Hapa Rais akipatiwa zawadi na mjumbe janeth Mushi
Hapa
Rais akisoma zawadi ya T-sheti aliyozawadiwa na Arusha Press
Club….alionekana kufurahia sana zawadi hiyo na kuhaidi ushirikiano kwa
club hiyo
No comments:
Post a Comment