Pages

Saturday, June 15, 2013

WATU WATATU WAFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA JIJINI ARUSHA JIONI YA LEO




Uwanja wa Soweto ambapo Mkutano wa Chadema kufunga kampeni za kuwania Udiwani Kata ya Kaloleni Jijini Arusha ulikuwa unafanyika umegeuka kuwa uwanja wa vilio baada ya kinachodhaniwa kuwa bomu kulipuka na kuua watu watatu na zaidi ya 50 kujeruhiwa vibaya huku baadhi yao wakiwa wamevunjika miguu.
Katika Mkutano huo walikuwapo pia Mwenyekiti wa Chadema na  Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema sambamba na viongozi wengine wa Chadema Mkoa wa Arusha lakini bahati nzuri Mbowe na Lema   hawakudhurika moja kwa moja na mlipuko huo.

Mlipuko huo ulitokea mbele ya gari ambalo lilikuwa ni jukwaa la matangazo mara  tu baada ya Mh Mbowe, Lema na viongozi wote waliokuwa jukwaa kuu kushuka chini na kujichanganya katikati ya watu wakikusanya michango ya watu, hali inayoashiria mrushaji huenda alilenga kuwajeruhi viongozi hao.

Miili ya marehemu na majeruhi walipelekwa hospitali ya Mt Meru lakini hawakupokelewa baada ya kilichoelezwa ni vurumai iliiyoletwa na mamia ya wafuasi wa Chadema waliokuwa na hasira baada ya wenzao kuuawa.

Hali ikiwa bado tete viwanjani hapo, magari kadhaa ya askari polisi yalifika huku askari wakiwa na silaha lakini walilazimika kupiga mabomu ya machozi kadhaa hewani na kisha kuondoka kutokana na baadhi ya wananchi waliokuwa na hasira kuwafuata na kupaza sauti wakitaka wawaue pia.

Kijana mmoja muuza machungwa aliieleza blogu hii kuwa aliyerusha bomu hilo alitokea upande wa nyuma ya jukwaa kuu na badae kukimbilia nyumba zilizojirani.





??????????????????????
??????????????????????
????????????????????????????????????????????
??????????????????????
??????????????????????

ANGALIA PICHA 13 JINSI JIDE ALIVYOKUWA ANAFANYA MAMBO BAADA YA MIAKA 13

ANGALIA PICHA 13 JINSI JIDE ALIVYOKUWA ANAFANYA MAMBO BAADA YA MIAKA 13




Jide akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa show yake

Mashabiki wakiwa wakiwa na furaha uku wengine wakinyosha mikono juu  ishala ya nyoka anaconda wakati wa burudani hiyo…
Jide akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa show yake
Mashabiki wakiwa wakiwa na furaha uku wengine wakinyosha mikono juu  ishala ya nyoka anaconda wakati wa burudani hiyo
Wacheza shoo wa Jide wakifanya makamuzi stejini
...Akiimba
Mh:Sugu alikuwepo
Hamza Kalala ndani
Poziiii
Ray,Richie na JB nao wapo
Chukua chako mapema mama
Anaconda Swagga
Bi Mkubwa poke miji Hela
....Akifanya makamuzi ya haja
TMK Halisi nao ndani
Mtumzima akitafakali jambo
M2 THE P akiwasaalimia mashabiki
Bongo Muvii ndani
Ngoma za asili ndani
Komandoo Hamza Kalala akinogesha mambo
Nyumbani Lounge watu wote mzuka
HBR PICHA RICHARD BUKOS
Jide akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa show yake
Mashabiki wakiwa wakiwa na furaha uku wengine wakinyosha mikono juu  ishala ya nyoka anaconda wakati wa burudani hiyo
Wacheza shoo wa Jide wakifanya makamuzi stejini
...Akiimba
Mh:Sugu alikuwepo
Hamza Kalala ndani
Poziiii
Ray,Richie na JB nao wapo
Chukua chako mapema mama
Anaconda Swagga
Bi Mkubwa poke miji Hela
....Akifanya makamuzi ya haja
TMK Halisi nao ndani
Mtumzima akitafakali jambo
M2 THE P akiwasaalimia mashabiki
Bongo Muvii ndani
Ngoma za asili ndani
Komandoo Hamza Kalala akinogesha mambo
Nyumbani Lounge watu wote mzuka
WWW.Thesuperonenews.blogspot.com