Mwenyekiti wa
Chadema,Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari na kuwatuhumu
polisi kuhusika na tukio la bomu na kudai anao ushahidi wa picha,kulia
kwake ni Mwanzilishi wa Chadema,Mzee Edwin Mtei
Freeman Mbowe akizungumza leo
Wanajeshi wa JWTZ wakimarisha ulinzi kwenye mkutano wa Chadema uwanja wa Soweto leo
No comments:
Post a Comment