Pages

Saturday, June 8, 2013

KTM BAADHII YA WASHINDI AMBAO WAMESHATAJWA HADI SASA WASOME HAPA


Events


Msanii Bora wa Kike Taarab....ni Isha Mashauzi.
Mtunzi bora wa mashairi bongo fleva ni Ben pol #KTMA
Mtayarishaji Bora wa Mwaka Bongo Fleva.....ni Man Water!
Mtayarishaji wa wimbo wa mwaka wa Taarab....ni Enrico!
Msanii bora wa kiume, bongo fleva...diamond #KTMA
Wimbo Bora wa Bongo Pop.......ni Ommy Dimples na Vanessa Mdee Me and You! 
 
Msanii Bora wa Kike Bongo Fleva......ni Recho!

No comments:

Post a Comment