MBOWE NA LEMA WAJISALIMISHA NA KUHOJIWA LEO,WADAI RAIS AUNDE TUME HURU YA KIMAHAKAMA
![]() |
Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari kwenye kituo kikuu cha polisi mkoa wa Arusha baada ya kujisalimisha na kuhojiwa yeye na Mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema |
IBADA YA MAZISHI YA JUDITH MOSHI YAFANYIKA LEO,WABUNGE NA VIONGOZI WA CHADEMA WAHUDHURIA
![]() |
Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wao,Freeman Mbowe wakiwa kwenye ibada katika Kanisa la KKKT Usharika wa Sokon One jijini Arusha |
![]() |
Wabunge wa Chadema,Grace Kiwelu na Godbless Lema wa Arusha mjini wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Judith Moshi |
![]() |
Wananchi wakitoa heshima za mwisho |
![]() |
Waombolezaji wakiwa na maua |
![]() |
Wananchi wakitoa heshima za mwisho kanisani |
![]() |
Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wao,Freeman Mbowe na wananchi wakiwa kwenye ibada ya maziko |
![]() |
Mchungaji Isack Kisiri akiongoza ibada ya mazishi |
![]() |
Picha ya marehemu Judith Mo |
No comments:
Post a Comment