Wafanyakazi wa Tan
Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 kushoto ni Semio
Sonyo ,Sarah Keiya meneja masoko,katikati ni David Rwenyagira na Deo Gee
wakifurahia kikombe cha ushindi ambapo waliibuka washindi wa
kwanza kwenye maonyesho ya 20 ya Nane nane kwa kanda ya
kaskazini,yaliyofanyika katika viwanja vya Themi,Njiro jijini Arusha
Meneja masoko wa Tan Communication Media inayo miliki kituo
cha Radio5 Sarah Keiya pamoja na Dadiv Rwenyagira wakiwa wameshikilia
kikombe mara baada ya kuibuka washindi wakwanza maonyesho ya 20,ya nane
nane kwa kanda ya kaskazini yaliyofanyika katika viwanja vya Themi,Njiro
jijini Arusha
No comments:
Post a Comment