Saturday, May 25, 2013
Maajabu Geita
Aliyefariki miaka mitano iliyopita afufuka

mwanamke anayedaiwa kufariki miaka mitano iliyopita
Mji wa Geita na maeneo ya jirani juzi ulikumbwa na taharuki ya aina yake, pale mwanamke ambaye anadaiwa kwamba alifariki miaka mitano iliyopita alipoonekana akiwa hai katika eneo la Kasamwa.
Inadaiwa kwamba Flora Onesmo (45) alifariki
Februari 28, 2008 katika Hospitali ya Wilaya ya Geita na kuzikwa katika
Kijiji cha Nakasenya, Kata ya Butundwe, lakini juzi alfajiri alikutwa
ameketi nje ya nyumba ya dada yake aitwaye Monica James, anayeishi
Kasamwa.
Aliyekuwa wa kwanza kumwona Flora ni mdogo wake
aitwaye Monica Onesmo ambaye baada ya kuamka saa 11:00 alfajiri nyumbani
kwa dada yake, alimwona mwanamke aliyekuwa ameketi nje ya nyumba hiyo,
lakini alimfananisha mwanamama huyo na marehemu dada yake.
“Baada ya kumwona nilimwita mtoto wake tunayekaa
naye na nikampigia simu dada (Monica) ambaye alikuwa amelala chumba
kingine nikamwambia kwamba nimeamka na kumkuta mwanamke amekaa hapa nje,
lakini kila nikimwangalia anafanana na marehemu dada yetu,”alisema
Jubili na kuongeza kwamba alipowaita wote walitoka nje.
Alisema mtoto wa Flora (marehemu anayedaiwa
kufufuka) anaitwa Rebeka Elisha (16) na kwamba walimchukua tangu 2008
wakati mama yake huyo alipofariki dunia katika Hospitali ya Geita ambako
alikuwa amelazwa kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa ini.
Rebeka ambaye ni mtoto wa nne wa Flora alisema:
“Mama mdogo alituita sisi tulikuwa tumelala akasema kwamba nje kuna
mwanamke ambaye anafanana na marehemu mama yetu, ndipo na sisi tukatoka
na kweli kumwangalia alikuwa ni yeye kabisa.”
Alisema walipomuhoji mama yake huyo kwamba
ametokea wapi, aliwaeleza kuwa ametoka eneo la Katoro kwa mganga na
aliletwa na watu ambao hakuwatambua Alhamisi saa 1:30 usiku ndani ya
gari na watu hao walimshusha kwa mtu aitwaye Juma Luchunga ambaye ni
jirani na dada zake hao.
Kauli ya Flora
Akizungumza na waandishi wa habari, Flora alisema
yeye ni mkazi wa Katoro na kwamba alitokea Katoro nyumbani kwa mganga wa
jadi ambaye hata hivyo hakumtaja kwa maelezo kwamba wataalamu wake
(majini) wamemkataza.
“Nilikuwa naishi kwa mganga wa kienyeji ila
alikuja mwanaume wakati nikiwa pale akaninywesha dawa kisha tukapakizwa
kwenye gari na watu wawili ambao sikuwatambua, mmoja mwanamke na
mwingine mwanaume mpaka hapa Kasamwa tukashushwa saa 1:00 jioni,”alisema
Flora.
Alisema alipofika Kasamwa alikwenda kunywa uji kwa
mama mmoja ambaye pia hakumtaja na kwamba baadaye alipelekwa nyumbani
kwa mtu mwingine saa nne usiku, lakini watu wa nyumba hiyo walipomwona
walimwambia: “Hapa si kwako twende tukupeleke kwa ndugu yako” na ndipo
wakampeleka kwa dada yake ambako aliketi nje hadi alfajiri.
Flora alisema kabla ya kuishi kwa mganga alikuwa
akiishi porini ambako alitupwa na watu asiowafahamu na baadaye aliokotwa
na wasamaria wema ambao ndiyo walimpeleka kwa mganga ambako alikuwa
akiishi muda wote.
CHANZO http://santoschuwa.blogspot.com
Friday, May 24, 2013
VIDEO YA MUZIKI GANI KUTOKA J3.ANADAI AMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA SANA
MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NEY WAMITEGO AMEPATA UMAARUFU MKUBWA KUTOKANA NA NYIMBO YAKE ALIYOIMBA NA DIAMOND MUZZIKI GANI AMBAPO KWA SASA ANAPATA SHOW ZISIZOKUWA NA IDADI
AMEDAI WIMBO UMEMPA MAFANIKIO MAKUBWA SANA NA VIDEO YAKE KUTOKA J3 NA ANAMPANGO WAKUTOA NYIMBO NYINGINE NA DIAMOND
AMEDAI WIMBO UMEMPA MAFANIKIO MAKUBWA SANA NA VIDEO YAKE KUTOKA J3 NA ANAMPANGO WAKUTOA NYIMBO NYINGINE NA DIAMOND
WAKULIMA WASHAURIWA
WAKULIMA WA MAZAO MBALIMBALIN HAPA NCHINI WAMETAKIWA KUFAHAMU SERA NA MASOKO YANAYOHUSIANA NA MASUALA YA MBOLEA ILI KUWEZA KUZALISHA MAZAO BORA NA YATAKAYOWALETEA TIJA
HAYO YAMESEMWA HII LEO NA DR MSHINDO MSOLLA AMBAYE NI MKURUGENZI WA MAENDELEO YA MAZAO YA KILIMO KUPITIA WIZARA YA KUILIMO CHAKULA NA USHIRIKA WAKATI AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI HAPA
AIDHA AMESEMA KUWA WAKULIMA WANAPASWA KUJUA MAMBO AMBAYO YANATOKANA NA MATUMIZI YA MBOLEA AMBAPO INAWEZA KUWA ASILIA AU KUTOKA\ VIWANDANI
HATA HIVYO AMEZITAKA HALMASHAURI NCHI NZIMA ZIWE NA MKAGUZI WA MBOLESA ILI KUWEZA KUWAELIMISHA WAKULIMA NAMNA YA KUJUA MBOLEA BORA
MKUTANO HUO UMEJUMUISHA NCHI 11 PAMOPJA NA WASHIRIKA WAKE WAPATAO 50 KUTOKA AFRIKA NA UNATARAJIWA\ KUHITIMISHWA HII LEO

Wednesday, May 22, 2013
KAKA NA DADA WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA KATIKA MAPANGO YA UFUKWE WA COCO..

UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni. Usemi huu unakamilishwa na tukio la kunaswa kwa vijana wawili wenye undugu wa damu wakifanya mapenzi kando ya Ufukwe wa Bahari ya Hindi
Imefahamika kwamba vijana hao, kaka na
dada wamenaswa ‘wakingonoka katika mapango yaliyopo kando ya Ufukwe
wa Coco, Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Tukio zima lilitokea mchana kweupe wa
saa 9 na kudhihirisha habari za mara kwa mara zinazoeleza kwamba Ufukwe
wa Coco umekuwa ukitumika kwa ufuska usiku na mchana.
Risasi lilinasa tukio hilo kwa kutumia mitambo maaalum iliyoelekezwa kando ya bahari.
Wawili hao walinaswa tangu walipokuwa wakiingia katika ufukwe huo na kuwafuatilia nyendo zao, hatua kwa hatua.

Haikufahamika mara moja kama wawili hao
walikuwa na makubaliano ya kwenda kuduu katika ufukwe huo au la, lakini
kwa mbali ilionekana kama vile dada mtu alikuwa akizingua kwenda
kutenda dhambi hiyo.
Picha za video zilizonaswa, zinamuonesha dada huyo akionekana kutoa upinzani pale alipokuwa akishikwashikwa na kaka yake.
Alionekana kama vile hakuwa tayari kwa mchezo huo.
Hata hivyo, kaka mtu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 23-26 alikuwa akilazimisha kitu fulani ambacho kilionekana dhahiri kupitia kamera zetu.
Hata hivyo, kaka mtu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 23-26 alikuwa akilazimisha kitu fulani ambacho kilionekana dhahiri kupitia kamera zetu.
Ni kama vile hawakuwa na makubaliano na kile walichokuwa wakienda kukifanya.
Mara kadhaa dada huyo alionekana
kumkwepa kaka yake na alikuwa akijiondoa karibu yake pale
alipomlazimisha kutaka kumfanyia kitu kisichokuwa cha kawaida.

Kamera za Waandishi ziliwafuatilia wawili hao kwa kuwa walionekana kuwa na kitu ‘spesho’.
Mpaka wanazama katika mapango yaliyopo kando ya ufukwe huo wa Coco, kamera zilikuwa zikiendelea kuwachukua hadi walipozama ndani kabisa ya mapango hayo.
Walipozama ndani ya mapango hayo, ghafla walitokea askari ambao nao walikuwa wakifuatilia nyendo za wawili hao.
Askari hao wa Kituo cha Oysterbay, wakiongozwa na kamanda wa oparesheni maalumu katika Wilaya ya Kinondoni, Kamanda Swai walifuatilia kwa umakini tukio hilo.
Wakiwa chini ya mapango, kaka na dada waliondoa vinguo vilivyokuwa maungoni mwao na kuanza kuduu kama vile walikuwa katika ufukwe unaoruhusiwa kufanya vitendo hivyo.
Kabla askari hawajawavamia, waliwashuhudia wawili hao wakiwa katika kilele cha sterehe yao huku dada mtu akionesha kutoa ushirikiano kwa shingo upande.
Ghafla, askari waliwavamia na kuwatibulia starehe yao kisha kuwatia mbaroni.

Baada
ya kuona kuwa wamevamiwa na askari, kaka mtu alichomoka na kutafuta
silaha ili kuweza kujihami na wavamizi wake bila ya kujua kama ni
askari.
Katika hilo nusura zipigwe kati ya askari na kaka huyo ambaye alikuwa akitaka kupigana na watu asiowajua kwa kuwa walikuwa wametinga mavazi ya kiraia.
Hata hivyo, alitulizwa na kutakiwa kuvaa pensi yake ili aweze kutoa maelezo kwa kina.
Wakati yote yakiendelea, dada mtu alikuwa amepigwa na butwaa na kutojua cha kufanya hadi aliporushiwa kitenge chake kilichokuwa pembeni ili ajisitiri mwili wake.
Katika mahojiano ya awali yaliyoongozwa na Kamanda Swai, ilibainika kwamba wawili hao ni ndugu wa damu yaani kaka na dada.
Maelezo hayo yanasema kuwa dada mtu alitoka mkoani na alikuja kutembea jijini Dar es Salaam, ndipo kaka yake alipomtaka watoke kwenda kumuonesha vivutio vya jiji hilo.
“Nina miaka 19, nimetokea Iringa kuja Dar kutembelea familia lakini kaka akanileta huku na kunifanyia vile, siyo kama tulikuwa tumekubaliana,” alisema dada huyo kwa aibu.
Kaka mtu alikiri kile kilichosemwa na dada yake na kushindwa kujitetea kwa kuwa kila kitu kilikuwa hadharani.
Wawili hao walichukuliwa na kupelekwa katika Kituo cha Oysterbay kwa ajili ya kufunguliwa kesi ya uzembe na uzururaji na kusekwa rumande kabla ya kufikishwa mahakamani.

CHANZO http://threewhite.blogspot.com
TANGAZO KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
TANGAZO KWA UMMA
Wizara
ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Tangazo lake kwenye Gazeti la Habari
Leo la tarehe 20 Aprili, 2013 siku ya Jumamosi na la tarehe 23 Aprili,
2013 siku ya Jumanne na kwenye tovuti ya Wizara, ilitangaza nafasi
mbalimbali za kazi za Kada ya Afya zikiwemo za Maafisa Ustawi wa Jamii,
Maafisa Ustawi wa Jamii Wasaidizi, Walezi wa Watoto, Maafisa Lishe na
Maafisa Lishe Wasaidizi.
Wizara inapenda kuwajulisha waombaji wa nafasi za Kada tajwa hapo juu zitashughulikiwa na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira.
Hivyo,
waombaji wote waliotuma maombi yao Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,
wanajulishwa kuwa maombi yao yatapelekwa Sekretarieti ya Ajira kwa ajili
ya uchambuzi na usaili.
Tangazo
hili halihusu waombaji walioomba Kada mbalimbali za Afya ambazo
zitashughulikiwa moja kwa moja na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Kaimu Katibu Mkuu
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
22 Mei, 2013
Monday, May 20, 2013
Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu
Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya
ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa
kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active
range of age!
madhara yapo ya Negative na positive.
Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa
ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili
kufanya kazi zake vizuri bila msongo. Suala hapa si lazima uke na uume
kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko)
inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke
na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka
jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia
inacontrol joto la mwili (cooling effect).
Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala
sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama
kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis zitumiazo umeme),
usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo
mwilini and, it's brain iniciated.
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:
Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
Kusahausahau,
Kupendelea story za mapenzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.
CHANZO http://www.thechoicetz.com
Lady Jaydee apigwa stop na Mahakama

ZIKIWA zimebaki siku saba kabla ya kesi ya Msanii wa muziki wa Kizazi
Kipya Judith Wabura (Lady Jaydee) aliyofunguliwa na wakurugenzi wa
Clouds Media Group Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga kuanza kusikilizwa
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,
Mahakama hiyo imemtaka Lady
Jaydee asizungumzie swala hilo.
Mahakama hiyo imefikia hatua hiyo kwa kuwa kesi ya msingi
inayomkabili nyota huyo wa muziki wa kizazi kipya Tanzania kuacha mpango
wake kwa sasa mpaka kesi hiyo inayotarajia kuanza kusikilizwa Mei 27
mwaka huu itakapo malizika.
Taarifa za Lady Jaydee kupigwa stop na Mahakama hiyo zimenaswa na habarimpya kutoka kwa washirika wakaribu wa Mwanadada huyo anayetamba hivi sasa na wimbo wake wa Joto Hasira.
Mbali na wadaku hao kuihabarisha Habarimpya.com, nyota huyo wa muziki
nchini Tanzania pia aliandika katika ukurasa wake wa facebook akisema
kwamba "Nadhani baada ya hii, maswali yatapungua kama sio kuisha
kabisa..."alisema Lay jaydee na kuongeza:
"Nafahamu kila mtu anasoma kwa wakati wake pengine hamkuona sababu
nilizoelezea kwanini sijatoa waraka mwingine tarehe 15 kama nilivyo
ahidi, sababu ni kuwa mahakama imesema nisizungumzie hilo suala
kwa sasa, ambapo kesi bado iko mahakamani...mpaka nitakapopewa ruhusa ya
kuzungumza au kutozungumza tena"alisema Lady Jaydee katika ukurasa wake
wa Facebook.
source--http://www.thechoicetz.com
Subscribe to:
Posts (Atom)