Sunday, January 19, 2014
1.Waziri wa Fedha na Uchumi...SAADA MKUYA
MANAIBU WZIRI WA FEDHA MWIGULU NCHEMBA NA ADAMA MALIMA
2.Waziri wa maliasili na utaliii..LAZARO NYARANDU
NAIBU MAHMOUD MGIMWA
3.Waziri wa Mambo ya Ndani..MATHIASI CHIKAWE
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.DR HUSEIN MWINYI
4.MIFUGO NA UVUVI............TITUS KAMANI
NAIBU...............................OLE KAIKA TELELE
5.MAKAMU WA RAISI MUUNGANO,KUNA MABADILIKO YA NAIBU AMBAPO AMEKWENDA UMMY MWALIMU AMBAYE AMETOA JINSIA NA WATOTO
6.KATIBA NA SHERIA..Dr Asha Rose Migiro
7.Afya na Ustawi wa Jamii....SEIF SELEMAN RASHID
Naibu................................Dr Steven Kebwe
8.Naibu waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto..Pindi Chana
9.Naibu wa waziri wa maji....Amos Makala
10.Naibu waziri wa Chakula,Ushirika na Masoko..Godfrey Zambi
11.Naibu waziri wa habari,utamaduni na Michezo..Juma Nkamia
12.Naibu waziri wa Nishati na Madini...Charles Kitwanga
13,Naibu waziri wa nyumba na maendeleo ya Makazi...George Simba Chawene
14.Naibu waziri wa viwanda na Biashara...Janeth Mbene.
15.Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi....Jenista Mhagama
WENGINE WALIOANGUKA NI PHILIP MULUGU na GREGORY TEU..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment