PICHA 10 BORA AFRIKA MWAKA 2013, ZIMO ZA JENGO LA KIFAHALI LA WESTGATE NCHINI KENYA.

Kutekwa kwa mji wa Konna nchini Mali kulisababisha Ufaransa kupeleka wanajeshi wake huko kushika doria...hali hii ndiyo ilimpa furaha isiyo na kifani mtu huyu kwani waasi walikuwa wameweka sheria za kiisilamu zilizoharamisha mambo mengi. MSAADA WA SHIRIKA LA HABARI LA BBC.

Timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles ndiyo iliyowaondoa mashabiki hawa kutoka katika viti vyao baada ya kushinda kombe la taifa bingwa Afrika. Kombe hilo lilikuwa limewakwepa kwa miaka 13.

Zimbabwe ilikwenda kwenye debe mara mbili, kupigia kura kura ya maamuzi na uchaguzi mkuu. Mugabe ndiye aliyeshinda na huyu ni mmoja wa mashabiki wake.





Maombi yalifanywa kote nchini humo hali ilipozidi kuwa mbaya


Mjane wa Mandela Garaca Machel na aliyekuwa mke wa Mandela Winnie Mandela wakiomboleza kifo cha mzee Mandela wakati wa mazishi ya shujaa huyo wa Afrika. Chanzo JumaMtanda
No comments:
Post a Comment