HIZI HAPA SIFA 7 ZA WANAUME AMBAO WANAWAKE WENGI HUPENDA KUWA NAO
1. Mpole
2. Asiwe mwepesi wa hasira
3. Mcheshi
4. Anayeshaurika
5. Anayewajali watu wa nyumbani mwake
(mahitaji
6. Aliye na shukurani na kusifu (kwa lolote
jema alilolitenda mkewe)
7. Anayeaga aondokapo kwenda matembezini
au kazini au popote.
No comments:
Post a Comment