
Taarifa
zilizotufikia hapa ni kwamba Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue katika
mkutano wake na waandishi wa habari mjini Daressalaam ameonyesha hati
halisi ya muungano iliyosainiwa na waasisi wa muungano huo hayati
Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Karume.
No comments:
Post a Comment