KIONGOZI blog

MIXING STORY

Pages

  • Home Burudani Taarifa Elimu Maajabu Mujanja

Friday, April 11, 2014

LOWASSA AFANYA UKAGUZI WA MWISHO WA MAANDALIZI YA SOKOINE DAY HUKO MONDULI JUU




 WAZIRI MKUU mstaaafu na mbunge wa Monduli ,Mh.Edward Lowassa akipewa maelezo na watoto wa marehemu Edward Sokoine  aliyewahi kuwa waziri mkuu na mbunge wa jimbo la Monduli, Namelok Sokoine ambaye ni mbunge wa viti maalum wa kwanza kushoto na Joseph Sokoine wmwenye tishet nyekundu ambaye ni afisa katika ubalozi wa Tanzania nchini Canada, juu ya maandalizi ya maadhimishoya miaka 30 ya kifo cha Edward Moringe Sokoine aliyewahi kuwa waziri mkuu na mbunge wa jimbo la Monduli yatakayoadhimishwa kesho April 12.

Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ambapo ataongozana marais wastaafu pamoja na mawaziri wakuu wastaafu wote.

katika maadhimisho hayo kutakuwa na mbio za marathon








hili ndilo kaburi la Edward Moringe Sokoine aliyewahi kuwa waziri mkuu na mbunge wa monduli aliyefariki april 12, 1984
Posted by KIONGOZIGOD.BLOGSPOT.COM at 8:39 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
View mobile version
Subscribe to: Post Comments (Atom)

KIONGOZI GOD

KIONGOZI GOD
GT

ukihitaji Gari kununua gari bonyeza hapa

ukihitaji Gari  kununua gari bonyeza hapa
showroom ya magari

ZINAZOVUMA(popular post)

  • Kwa ajili ya wanawake pekee yao
    Kwa ajili ya wanawake pekee yao Nafahamu kuwa unafahamu kwamba mwanamke siku zote anachelewa kufika kileleni hali inayofanya waume/...
  • (no title)
    ANGALIA SIKU YA FAMILIA ILIVYOFANA ARUSHA TECHNICAL COLLEGE(ATC)   Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha,Dk Richard Massika(wa pil...
  • CCM wapingana na kauli aliyoitoa nape juu ya Mh Edward Lowasa
    Ka tibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha,Isaack Joseph  akizungumza na waandishi  wa habari leo katika makao makuu ya ...
  • (no title)
    Mkuu wa mkoa wa Manyara Bw. Elaston Mbwilo Juzi, alipokea vifaa tiba venye thamani ya zaidi ya Tsh. 24,000,000/- kutoka Shirika lisilola k...

Translate

About Me

My photo
KIONGOZIGOD.BLOGSPOT.COM
ARUSHA, ARUSHA, Tanzania
View my complete profile

Total Pageviews

KARIBU TENA AKSANTE. Picture Window theme. Powered by Blogger.