Sunday, April 13, 2014

TAZAMA PICHA 12 ZA TASWIRA YA KINACHOENDELEA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE GURUMO



Maandalizi ya mazishi ya Mwanamuziki Mkongwe Muhidin Gurumo bado yanafanywa na familiamillardayo.com imefika nyumbani kwa marehemu na kuongea na mtoto wa kwanza wa marehemu Abdallah Muhidin Gurumo.

Abdallah amesema mpaka sasa kama familia wameamua mazishi yafanyike Jumanne ya

April 15 kijiji alichotoka marehemu Gurumo,Masaki wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani saa 4 asubuhi.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.











Credit: millardayo.com

No comments:

Post a Comment