KIONGOZI blog
MIXING STORY
Pages
(Move to ...)
Home Burudani Taarifa Elimu Maajabu Mujanja
▼
Monday, June 2, 2014
PICHA: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya mama mzazi wa Zitto Kabwe
Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa.
Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo.
Viongozi mbalimbali wakishiriki kuombea mwili wa marehemu.
Zitto Kabwe akiungana na waombolezaji kuombea mwili wa mama yake.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment