KIONGOZI blog

MIXING STORY

Pages

  • Home Burudani Taarifa Elimu Maajabu Mujanja

Friday, March 6, 2015

HABARI ILIYOTIKISA JIJI-KIKWETE AIVULIA KOFIA AZAM MEDIA,SOMA HAPA KUJUA

RAIS Jakaya Kikwete leo ameshindwa kujiuzuia baada ya kutoa mshangao wake baada ya kuona ubora wa Studio za kisasa za kurushia Matangazo  ya Kituo cha Azam TV   ambazo zinalingana na Runinga Bora Duniani kama  vile CCN,BBC,Al-Jazeera,DW,



                                                Studio za Azam Tv 

    Azam tv ambayo inamilikiwa na Mfanyabiashara Maarufu Nchini Said Salim Bakhresa wamejenga Studio hizo ambazo zipo Tabata Relini Jijini Dar es salaam zenye Thamani ya pesa za kitanzania Zaidi ya bilioni 56.
       Akizindua Studio hizo Bora za kisasa Kabisa kuwepo Kusini mwa Jangwa La Sahala Mda huu Jijini Hapa, Rais Jakaya Kikwete Amemwagia sifa Mfanyabiashara huyo na kusema ameleta  mapinduzi makubwa katika sekta ya Habari nchini na kuwataka wamiliki wengine wa Runinga nchini kuiga mfano na Mfanyabiashara huyo.
      Kuzinduliwa huko kwa Studiao hizo za kisasa,kunakuja ikiwa Kampuni hiyo ya Azam tayari imeshapata Leseni ya kurusha Moja kwa Moja mechi ya Ligi kuu ya Vodacom ya Tanzania Bara,na pia wako mbioni kuonyesha pia Ligi kuu mbalimbaliza Soka Afrika Mashariki na sasa ameshapiga hodi nchini Uganda.

      Mbali na Runinga Mfanyabiashara huyo pia ameanzisha  Radio yake hapa jijini.
Wafanyakazi wanena.
Wafanyakazi mbalimbali wa Runinga ya Azam waliozungumza na mwandishi wa Mtandao huu kwa Sharti ya kutotaja majina yao mtandaoni, wamemwagia sifa Mfanyabiashara huyo na kusema ni Mmiliki pekee nchini, wa Vyombo vya Habari anayelipa vizuri.

        ‘Sikifuchi mimi nimefanya kazi kwenye Vyombo mbalimbali nchini kusema kweli kwa sasa nilivyohamia hapa Azam Media huyu mmiliki wetu anatujali sana kwanzia vitendea kazi na pia malipo mazuri”
Wimbi la watangazaji nchini kuhamia Azam media.
Taarifa za Kuaminika ambazo mtandao huu umezipata unasema kwa sasa Mfanyabiashara huyo ameweka mipango ya ,kuwachukua watangazaji mbalimbali kutoka Redio na televisheni kuja kuhamia kwenye Redio yake mpya.
Posted by KIONGOZIGOD.BLOGSPOT.COM at 4:11 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
View mobile version
Subscribe to: Post Comments (Atom)

KIONGOZI GOD

KIONGOZI GOD
GT

ukihitaji Gari kununua gari bonyeza hapa

ukihitaji Gari  kununua gari bonyeza hapa
showroom ya magari

ZINAZOVUMA(popular post)

  • Kwa ajili ya wanawake pekee yao
    Kwa ajili ya wanawake pekee yao Nafahamu kuwa unafahamu kwamba mwanamke siku zote anachelewa kufika kileleni hali inayofanya waume/...
  • (no title)
      PICHA ZA LAANA YA “KANGA MOKO NDEMBE NDEMBE Mambo yanayofanywa na kundi la kanga moja ni ya aibu sana  kwa  sababu  ni ...
  • Picha za jinsi katibu mpya wa EAC alivyokaribishwa
    Jumuiya ya Afrika Mashariki  imeendelea na hatua yakubadilishana uongozi ambapo sasa hivi Katibu Mkuu Dr Richard Sezibera  kutoka Rwanda ame...
  • (no title)
    PICHA  ZA VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOKUTWA KWENYE MACHIMBO YA KOKOTO BUNJU   Kwa mujibu wa Radio One: Jeshi la Polisi wilaya ya Kinon...

Translate

About Me

My photo
KIONGOZIGOD.BLOGSPOT.COM
ARUSHA, ARUSHA, Tanzania
View my complete profile

Total Pageviews

KARIBU TENA AKSANTE. Picture Window theme. Powered by Blogger.