zitto ni mungu mtu,dikteta, ACT Hakuna demokrasia ni uzushi mtupu na uongo.

kiongozi mkuu wa chama cha act akihutubia mkutano
Njia ya muongo nifupi sana..Ukweli ni huu
..
Zitto amesema, ndani ya ACT hakujengwi mtu; kunajengwa chama na kwamba kinachowaunganisha, ni undugu wao na uzalendo wa kutetea
ukandamizaji wa vyama vingine. Hili nalo siyo la kweli.

Kama ndani ya ACT hakujengwi mtu, kusingekuwa na mgogoro kati “#wavamizi”
wanaoongozwa na Zitto na genge lake; na wenye chama chao, wanaoongozwa
na Lucas Kadawi Limbu, mwenyekiti mwanzilishi wa ACT Tanzania.
Kama ndani ya ACT kuna demokrasia, ukilinganisha na huko walikotoka, Limbu
na wenzake leo hii, wasingekuwa mahakamani kupinga kinachofanywa na Prof.Kitila na Mwigamba.

Kusingefanyika mapinduzi ya chama kwa kubadilisha katiba kinyemela; nembo
ya chama, falsafa ya chama, kadi za chama, nembo ya chama na jina la
chama.

Kama ndani ya ACT kungekuwa na demokrasia, kusingefanyika jitihada
mahususi za kufukuza waasisi ili kumuandalia mtu mmoja; na mwenye maslahi
binafi – Zitto Zuberi Kabwe – makazi ya kisiasa. Hata hicho cheo kipya cha
kiongozi mkuu wa chama kisingeumbwa.

Kungekuwa na demokrasi, Anna Elias Mug’way, kwa jina jingine,Anna Shadrack Maghiya, angekuwa mwenyekiti halisi; na siyo kama alivyo sasa alikofanywa
kama boya linaloelea baharini baada ya kukata nanga.

Yako wapi majukumu ya mwenyekiti ikiwa anayeitwa kiongozi mkuu wa chama,ndiye mkuu wa chama kwenye mikutano mikuu ya chama taifa Halmashauri
Kuu (NEC) na Kamati Kuu (CC)?
Yako wapi majukumu ya mwenyekiti ikiwa, kiongozi mkuu wa chama, ndiye
atakayekuwa mkuu wa siasa, mshauri na mwelekezaji kwa viongozi wote na
maafisa wa ACT-Tanzania?
Lakini kuna hili pia: Kama ndani ya ACT kungekuwa hakujengwi mtu; na kama
ugomvi wa huko walikotoka ni kutokuwapo demokrasia, mbona hakuna
utaratibu wa kugombea nafasi ya “Kiongozi Mkuu” wa chama?.

Mbona mwenyekiti hana mamlaka ya kuagiza, kuteuwa;na au kuelekeza katibu mkuu wa chama ama mfanyakazi mtumishi mwingine wa chama? Madaraka
yote yametupwa kwa kiongozi mkuu wa chama.
Iko wapi tofauti ya mfumo wa utawala wa kiongozi mkuu na utawala wa
kifalme?.

Katiba ambayo Zitto na wenzake wanatumia inasema, pamoja na mengine,
kiongozi mkuu ndiye atateua wajumbe watano wa kamati kuu; ndiye mtoa
tamko rasmi kuhusu masuala ya sera na mtazamo wa chama; mtoa habari
mahususi kwenye mkutano mkuu,NEC na CC na masuala mengine ya kitaifa na kimataifa.

Kitila na wenzake wanaimba kuwa Zitto sasa ndiye atakuwa “nuru na taswira
ya ACT-Tanzania ambayo wamegeuza jina na kuita ACT-Wazalendo.”
Katika mifumo ya kidemokrasia, “nuru na taswira” ya chama inakuwa mtu
mmoja? Ni kitu gani hasa? Ni “zidumu fikra za Zitto?” Fikra zipi” Ni
wanachama kumwacha Zitto awapeleka anakotaka? Ni ufalme wa Zitto?
Inawezekana kuwa hilo ndilo alikuwa anatafuta katika Chadema – na alikiri
kuandaa – kupindua uongozi na watendaji ili achukue chama na kubaki dikiteta
mkuu katika mfumo anaouita wa kidemorasia?
Yako wapi majigambo ya kupigania demokrasia? Kwa hili, hata wale ambao
Zitto anatuhumu udikiteta, hawajawahi kujiundia uungu wa aina hii.

MAWAZIRI KUJIUZULU NA SERIKALI KUANGUKA.
Zitto ameendela kudai kuwa katika miaka 10 ya ubunge wake,ameangusha serikali mara kadhaa. Akataja mkataba wa madini wa Buzwagi
kwa kusema waziri wa nishati na madini alijiuzulu;na ukwapuaji katika sakata la Escrow.

Wote huu ni uongo mwingine mchafu. Hakuna waziri wa nishati na madini
aliyejiuzulu kwa sababu ya kusaini mkataba wa madini wa Buzwagwi. Hakuna.
Aliyekuwa waziri wa wizara hiyo na aliyesaini mkataba wa Buzwagwi,Nazir
Karamagi, alijiuzulu kutokana na kashifa ya Richmond iliyomg’oa waziri mkuu Edward Lowassa.Siyo Buzwagwi.

Kuhusu kashfa ya Escrow, kamati ya PAC iliyoongozwa na Zitto, haikufanya
uchunguzi. Ilikabidhiwa ripoti ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) ili iisome na kutoa maoni. Basi.
Kwenye sherehe ya kumuaga CAG, Ludovick Uttoh, mapema kabla ya
mshikemshike wa Escrow kuanza, spika Anne Makinda alisema, baada ya
kosoma ripoti, kuwa bunge lingekuwa linaendelea, “wengi” wangezama.
Akamsifu Uttoh kwa kazi nzuri ya kuibua kashfa.

Sasa ambacho Zitto anajivunia kufanya katika kashfa ya Escrow ni kipi? Rekodi
zipo. Kazi afanye CAG, sifa ajilundikie Zitto? Huu siyo uandilifu; lakini pia ni
uongo wa kijinai.
Haya yameelezwa mara nyingi na yataendelea kuelezwa ili hatimaye, hata wale
wachache waliosalia ambao hawajamfahamu vema Zitto, nao waweze kupata
nuru.
by.Emanuel Jumanne Johnzipo. Kazi afanye CAG, sifa ajilundikie Zitto? Huu siyo uandilifu; lakini pia ni
uongo wa kijinai.
Haya yameelezwa mara nyingi na yataendelea kuelezwa ili hatimaye, hata wale
wachache waliosalia ambao hawajamfahamu vema Zitto, nao waweze kupata
nuru.
No comments:
Post a Comment