Sunday, May 8, 2016

Baraza la madiwani Arusha limemfukuza kazi mtumishi wa idara ya biashars

Mwenyekiti wa baraza la madiwani arusha ambaye ni mstahiki meya hatimaye yeye na baraza lake wamemtungua afisa biashara wa jiji kwa kosa la kutoa leseni mbili mbili kwa wafanya biashara na makosa mengine bado yanafatiwa kwa undani zaidiKalisti Lazaro ametoa salamu kwa idara zingine zijipange

1 comment:

  1. Hii balaaa, kazi kweli kweli. Na mimi nataka kumfukuza kazi mfanyakazi katika ofisi yangu asiyewajibika vya kutosha, bora nibaki alone

    ReplyDelete