Pages

Friday, May 6, 2016

Sukari kupanda bei nchini imemfikia Magufuli na wanaoficha kuna hizi hatua zitachukuliwa




Suala la  sukari kupanda bei  limemfikia Raisi Magufuli na ameagiza wafanyabiashara wote walioficha sukari waitoe sukari ili waweze kuiuza kwa wananchi la  sivyo serikali itawagawia wananchi bure

President Magufuli amezungumza  na wakazi  wa Mkoa wa Manyara wakati akitoka mkoani Dodoma kuelekea Arusha kwa kutumia usafiri wa Gari


No comments:

Post a Comment