HAYO YAMESEMWA HII LEO NA DR MSHINDO MSOLLA AMBAYE NI MKURUGENZI WA MAENDELEO YA MAZAO YA KILIMO KUPITIA WIZARA YA KUILIMO CHAKULA NA USHIRIKA WAKATI AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO ULIOFANYIKA JIJINI HAPA
AIDHA AMESEMA KUWA WAKULIMA WANAPASWA KUJUA MAMBO AMBAYO YANATOKANA NA MATUMIZI YA MBOLEA AMBAPO INAWEZA KUWA ASILIA AU KUTOKA\ VIWANDANI
HATA HIVYO AMEZITAKA HALMASHAURI NCHI NZIMA ZIWE NA MKAGUZI WA MBOLESA ILI KUWEZA KUWAELIMISHA WAKULIMA NAMNA YA KUJUA MBOLEA BORA
MKUTANO HUO UMEJUMUISHA NCHI 11 PAMOPJA NA WASHIRIKA WAKE WAPATAO 50 KUTOKA AFRIKA NA UNATARAJIWA\ KUHITIMISHWA HII LEO
No comments:
Post a Comment