Monday, June 17, 2013

JWTZ WAIMARISHA ULINZI MKUTANO WA CHADEMA,MBOWE ALISHUSHIA JESHI LA POLISI TUHUMA NZITO JUU BOMU LA JUMAMOSI

Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari na kuwatuhumu polisi kuhusika na tukio la bomu na kudai anao ushahidi wa picha,kulia kwake ni Mwanzilishi wa Chadema,Mzee Edwin Mtei 

Freeman Mbowe akizungumza leo

Wanajeshi wa JWTZ wakimarisha ulinzi kwenye mkutano wa Chadema uwanja wa Soweto leo

No comments:

Post a Comment