KTM BAADHII YA WASHINDI AMBAO WAMESHATAJWA HADI SASA WASOME HAPA
Msanii Bora wa Kike Taarab....ni Isha Mashauzi.
Mtunzi bora wa mashairi bongo fleva ni Ben pol #KTMA
Mtayarishaji Bora wa Mwaka Bongo
Fleva.....ni Man Water!
Mtayarishaji wa wimbo wa mwaka wa
Taarab....ni Enrico!
No comments:
Post a Comment