Thursday, June 20, 2013

MBOWE NA LEMA WAJISALIMISHA NA KUHOJIWA LEO,WADAI RAIS AUNDE TUME HURU YA KIMAHAKAMA



MBOWE NA LEMA WAJISALIMISHA NA KUHOJIWA LEO,WADAI RAIS AUNDE TUME HURU YA KIMAHAKAMA
Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema wakitoka  kwenye kituo kikuu cha polisi mkoa wa Arusha baada ya kujisalimisha na kuhojiwa kushoto ni wakili wao Albert Msando na kulia ni mbunge wa Musoma Mjini,Vincent Nyerere

Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari kwenye kituo kikuu cha polisi mkoa wa Arusha baada ya kujisalimisha na kuhojiwa yeye na Mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema

IBADA YA MAZISHI YA JUDITH MOSHI YAFANYIKA LEO,WABUNGE NA VIONGOZI WA CHADEMA WAHUDHURIA

Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wao,Freeman Mbowe wakiwa kwenye ibada katika Kanisa la KKKT Usharika wa Sokon One jijini Arusha

Wabunge wa Chadema,Grace Kiwelu na Godbless Lema wa Arusha mjini wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Judith Moshi
Wananchi wakitoa heshima za mwisho

Waombolezaji wakiwa na maua
Wananchi wakitoa heshima za mwisho kanisani

Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wao,Freeman Mbowe na wananchi wakiwa kwenye ibada ya maziko

Mchungaji Isack Kisiri akiongoza ibada ya mazishi
Picha ya marehemu Judith Mo

No comments:

Post a Comment