mfanyabiashara
wa maaru wa madini ya Tanzanite ambeye pia ni mmiliki wa hotel ya
kitali ya S.G Resort ya jijini arusha Erasto Msuya amefariki dunia leo
majira ya alasiri wakati alipokuwa akitokea porini kuelekea mjini.kwa
mujibu wa taarifa ambazo libeneke limezipata mara baada ya tukio hilo
zinasema kuwa mfanyabiashara huyo alipigwa risasi na watu wanaosadikiwa
kuwa ni majambazi mara baada ya majibizano ya risasi yaliyotokea maeneo
ya barabara ya kia. Kwa habari zaidi endelea kufuatilia libeneke la
kaskazini tutaendelea kuwajuza nini kinaendelea |
|
No comments:
Post a Comment