Saturday, September 21, 2013


 

AJTC YA YAONGOZA KWA UBORA KATIKA VYUO VYA UANDISHI WA HABARI TANZANIA






 CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZJI ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE HII LEO KIMEINGIA KATIKA REKODI YA JUU KABISA YA VYUO BORA VYA UANDISHI WA HABARI VINAVYOTOA ELIMU YA CERTIFICATE NA DIPLOMA BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI KATIKA VYUO BORA VYA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI TANZANIA HUKU CHUO CHA KWANZA KIKIWA NI A3 INSTITUTE CHA JIJINI DARE ES SALAM ambapo hatukupata nafasi  YA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI  ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE BW:JOSEPH KAGIYE MAYAGILLA HUYU HAPA MSIKILIZE ALICHOSEMA

No comments:

Post a Comment