Wednesday, September 25, 2013

Mchungaji Ambilikile Mwaisapile (Babu Wa Loliondo) amesema Mungu ameendelea kujifunua kwake na kumuonesha kuwa Tanzania itakuwa kioo cha Afrika na baadaye dunia yote.

Ameyasema hayo wakati Waziri mkuu Mizengo Pinda alipopita nyumbani kwake kumsalimia baaada ya ziara yake aliyoifanya huko.

No comments:

Post a Comment