Monday, May 12, 2014

Rais Kikwete aongoza maadhimisho ya Siku ya Wauguzi kitaifa mkoani Arusha leo

Wanafunzi wakitoa burudani ya Kwaito
Wanafunzi wa Uuguzi Karatu mkoa wa Arusha

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mkurugenzi wa World Education Inc(WEI)Lilian Badi wakati akitembelea mabanda ya maonesho

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Viongozi wa dini baada ya kuwasili uwanja wa Sheikh Amri Abeid


Maandamano ya wauguzi

No comments:

Post a Comment