Saturday, June 7, 2014

HUYU NDIE MCHUMBA WA MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI JOSHUA NASSARI HUYU HAPA.



Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh Joshua Nassari siku ya kesho anatarajia kufunga ndoa na mchumbawake anayejulikana kwa jina la Anande Nko katika kanisa la Pentekoste Kilinga lililoko wilaya ya Meru baada ya mambo ya imani Sherehe kubwa ya Harusi itakayo fanyika katika viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hotel ya Ngurdoto.Pichani ni Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Meru Dr Paul Akyoo akifanya maombi kwa Mh Joshua Nassari pamoja na mchumbawake mtarajiwa Anande Nnko 

Matukio mengine chini yanaendelea







 
 
My Blogger Tricks

No comments:

Post a Comment