PICHA ZA VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOKUTWA KWENYE MACHIMBO YA KOKOTO BUNJU
Kwa mujibu wa Radio One:
Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyohifadhiwa ktk mifuko ya plastiki ktk machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dsm
Taarifa za tukio hilo zimethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura.
Uchunguzi zaidi wa tukio hilo unaendelea na taarifa zaidi kuhusu tukio hili zitaendelea kuwajia.
No comments:
Post a Comment