MKUU WA MKOA WA ARUSHA,MAGESA MULONGO AFUNGUA WIKI YA USALAMA BARABARANI AHIMIZA UTII WA SHERIA
Waendesha Pikipiki jijini Arusha wakiwa kwenye maandamano barabara ya Moshi –Arusha eneo la Sanawari wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Usalama barabarani yanayofanyika kitaifa mkoani Arusha leo |
Askari wa Brass band wakiongoza maandamo ya kuadhimisha ya Wiki ya Usalama barabarani yanayofanyika kitaifa mkoani Arusha leo |
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru ya jijini Arusha wakijumuuika kwenye maadhimisho ya Wiki ya Usalama barabarani yanayofanyika kitaifa mkoani Arusha . |
Wanafunzi wa Shule za Msingi jijini Arusha wakijumuuika kwenye maadhimisho ya Wiki ya Usalama barabarani yanayofanyika kitaifa mkoani Arusha . |
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akimsikiliza Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Makao Makuu,Yohana Mjema wakati akitoa maelezo ya hali ya usalama barabarani. |
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akihutubia wananchi. |
Baadhi ya Maafisa wa jeshi la Polisi nchini wakifatilia maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani. |
No comments:
Post a Comment