List ya Maraisi Matajiri Zaidi Barani Afrika Kenya Yashika Nafasi ya Nne.
9. Roberth Mugabe akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $10 MILLION
8. Idris Deby raisi wa chad akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $50 MILLION
7. Goodluck Jonathan akiwa ni Raisi kutoka Nchini Nigeria akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $100 MILLION
6 King Mswati III huyu ni mflame kutoka Swaziland anayesifika kwa kuwa na wake wengi akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $100 MILLION
5. Paul Biya huyu ni Rais wa Cameroon akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $200 MILLION
4. Uhuru Kenyatta Kutoka hapa Afrika Mashariki tumepata raisi tajiri zaidi akishika nafasi ya 4 kutoka Kenya akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $500 MILLION
3. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo Huyu ni raisi Equatorial Guinea kutoka akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $600 MILLION
2. Mohamed VI kutoka Morocco akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $2.5 BILLION
1. Jose Eduardo Dos Santos raisi kutoka Angola akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $20 BILLION
No comments:
Post a Comment