Friday, January 30, 2015

MADIWAN IWILAYA YA ARUSHA WADAI BAJETI YA SH BILIONI 42 HAITEKELEZEKI Madiwani wa wilaya ya arusha wamesema bajeti hiyo haitekelezeki kwa sababu kuna ahadi nyingi ambazo zimetolewa na bado hazijatekelezwa wamesema kwamba serikali kuu inadaiwa kwa hyo hawana uhakika kuhusiana na upatyikanaji wa fedha hizo

No comments:

Post a Comment