Saturday, May 9, 2015

PAMOJA NA MAKAMANDA KULOWA CHAPA CHAPA NA MVUA LAKINI MKUTANO WA LEO ARUSHA UMEENDELEA KAMA KAWAIDA

Mheshimiwa Tundu Lissu akiwahutubia wakazi wa Arusha Mjini katika mkutano mkubwa ulioambatana na mvua kubwa leo.

Wakazi wa Arusha wakiwa katika mkutano mkubwa ulioambatana na mvua lakini wamesema leo hatuondoki hata kama mvua ya mawe itanyesha

Makamanda wakiwa wamelowa chapa chapa lakini bila kujali mvua wameweza kufanya mkutano kama kawaida.

No comments:

Post a Comment