WATANZANIA WATAKIWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI
Waziri wa maji Mhe.Gerson Lwenge pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Mbunge wa viti maalumu katika jimbo la arumeru magharibi Risala Kabongo wametembelea maporomoko ya maji ya water falls yaliyopo Kata ya Bangata mkoani Arusha
Mhe.Waziri akiwa kwenye picha ya pamoja na wabunge pamoja na madiwani waliohudhuria ziara hiyo katika maporomoko ya maji.
Mhe.waziri Lwenge kushoto wa tatu wa pili kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Arusha Fadhili Nkurlu akipongezana na Mstahiki Meya wa jiji la Arusha Mhe.Kalisti Lazaro
Waziri wa maji Mhe Gerson Lwenge wa kwanza anayepanda kilima kutoka katika vyanzo vya maji na anayemfata nyuma ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arumeru Magharibi Fidelis Lumato.
Mheshimiwa Waziri akikagua moja ya chanzo cha maji kilichopo kata ya Olorien jijini Arusha
No comments:
Post a Comment