Wednesday, March 9, 2016

mwanafunzi aliyeongoza kitaifa kidato cha nne apewa milion 5

Mwanafunzi aliyeongoza kitaifa Matokeo ya Kidato cha 4, Butogwa Shija aahidiwa ajira na CRDB atakapomaliza masomo. Apewa milioni 5.

-Pia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) ilimuongezea mwanafunzi huyo kiasi cha shilingi 500,000 lengo likiwa ni kuwahamasisha watoto wa kike ili kuleta haki sawa kwa wote.

No comments:

Post a Comment