Monday, April 4, 2016

MAHAKAMA YAAHIRISHA KESI YA MREMA DHIDI YA MBUNGE JAMES MBATIA
Mahakama kuu kanda ya Moshi mkoani Kilimanjaro imeahirisha keshi ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa  mgombea  ubunge wa jimbo la Vunjo Augustine Mrema wa chama cha (TLP) dhidi ya mbunge wa sasa wa jimbo hilo James Mbatia NCCR-Mageuzi.

 
Wakazi wa Vunjo wakiwa wamefurika kwenye viwanja hivyo vya mahakam



 wananchi wafurahia ushindi wa James Mbatia
Kutokana na kifo cha jaji Anthony Mrema kufariki dunia hivi karibu imepelekea kesi hiyo kuahirishwa ambapo ilikuwa iendelee siku ya jana

No comments:

Post a Comment