Thursday, July 28, 2016

Arusha imepokea magari sita kwa ajili yakubebea taka

Mh meya wa jiji la arusha Kalisti Lazaro akionyesha moja gari  ya  kati ya sita ambayo halmashauri imenunua  katika depoti ya jiji magari  yatakayo fanya kazi ya kubeba taka na kuweka jiji safi , kalisti amesema katika uwongozi wake jiji la Arusha litafanania jeniva ya afrika .

No comments:

Post a Comment