Wednesday, February 15, 2017

DC aagiza waliochukua fedha za TASAF kimakosa warudishe

UPDATE;Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Fabian Daqarro ameagiza watendaji wanaohusika na mpango wa TASAF wa Kupunguza umaskini kuhakikisha wanawatoa kwenye mpango wale waliokuwa na uwezo pamoja nakuhakikisha wale waliochukua kimakosa wanarudisha fedha hizo ili ziweze kusaidia wengine






Pamoja na mambo mengine DC Daqarro amesema ni jukumu la kila mwananchi kutoa taarifa za za wahalifu katika mitaa yao ili hatua ziweze kuchukuliwa

Ziara imeendelea leo katika kata ya OSUNYAI eneo la Bullet mtaa wa Kirika B

No comments:

Post a Comment