Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Monaban,Philemon Mollel ambaye alikuwa mgeni
rasmi katika uzinduzi wa Arusha Movie uliofanyika hivi karibuni katika
hotel ya Naura Springs ambapo alichangia Milioni 7 kama machango wake
kwa wasanii wa Arusha
Katika uzinduzi huo wakati akisoma
hotuba yake kwa wasanii hao ,Mollel aliwataka kuhakikisha kazi
wanazozifanya zinaleta ujumbe wa kuelimisha jamii pamoja na kuburudisha,
huku akiwataka viongozi wa Arusha Movie kutokukata tamaa bali wafanye
kazi kwa ushirikiano ili kuleta maendelea kwa wasanii na kuwa mfano wa
kuigwa na wasanii wengine Nchini
Afisa
masoko wa kampuni ya Megatrade Bw.Goodluck Kwayu aliyevalia njano
ambapo katika uzinduzi huo wa Arusha Movie alichangia shilingi laki Tano
na kuhaidi kama kampuni watashirikiana na wasanii bega kwa bega
kuhakikisha sanaa ya Arusha inakuja juu
Wadau walioalikwa kuja kuchangia Arusha Movie wakifwatilia burudani katika hotel ya Naura jijini Arusha hivi karibuni


No comments:
Post a Comment