Mkurugenzi
wa Huduma kwa Wanachama wa Local Authority Pension Fund(LAPF),Valerian
Mablanketi(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya mkutano wa Sita wa mfuko huo utaofanyika
jijini Arusha tarehe 11 na 12 Oktoba,2013 katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC
ukiwa na kauli mbiu “KUKIDHI KWA MAFAO YA KUSTAAFU;CHANGAMOTO NA NJIA ZA
KUBORESHA,”kulia ni Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam,Amina Khasim na kushoto Meneja Matekelezo wa Mfuko huo,Victor Kikoti
|
No comments:
Post a Comment