Mshauri
mkuu wa vipindi vya Radio 5 David Rwenyagira akiongea na vyombo vya
habari jana kuhusu Tamasha la Arusha Festival linalotarajiwa kuanza
rasmi tarehe 14/10/2013 jijini hapa lenye lengo la kuenzi kazi za Baba
wa Taifa,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Kulia
niMkurugenzi wa kampuni ya Shining Stars LTD Ibbrahim Thabit katikati
Sarah Keiya Meneja masoko wa kampuni ya Tan Communication Media
inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha na Lalit Sharma Meneja maoko PEPSI
Vicky
Mwakoyo ambaye ni Creative Meneja wa kampuni ya Tan Communication
Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha akiwaelezea waandishi wa
habari wasanii watakaopamba Tamasha hilo kuwa ni Jambo Squared,Watoto wa
simba,Ngoma za Asili na wengine wingi.
Katika
Tamasha hilo pia watapiga vita ujangili pamoja na matumizi mabaya ya
Maliasili na Rasilimali kwakuwa Baba wa Taifa enzi ya uhai wake alikuwa
Mstari wa mbele
David Rwenyagira
akisisitizia jambo kuhusu Tamasha hilo ambapo alisema litaanza kwa
maandamano katika uwanja wa Sheikh Amir Abeid”Stadium”jijini Arusha
kuelekea katika uwanja wa General Trye
Baadhi ya waandishi wa habari wakifanya kazi yao
Hapa wadhamini wa Tamasha hilo wakaamua kugonga cheers kuashiria tamasha hili litakuwa la kukata na soka
No comments:
Post a Comment