Saturday, November 9, 2013

AJALI | TIZAMA PICHA ZA AJALI YA GARI LA MERRIDIAN ILIYOTOKEA MARANGU MOSHI VIJIJI MKOANI KILIMANJARO LIKITOKEA DARE -ESALAAM


 LILIANGUKA  8|11|2013 HAPO JANA WAKATI  LIKI FUKUZANA  KWA  MWENDO KASI  NA  GARI  LA  WAKATI  EXPRESS NAKUSHINDWA   KUMUDU  KONA  KALI  NDIPO  LIKA PINDUKA  MAJURUHI  WALIKUWA  12 WALIWAHISHWA  KATIKA  HOSPITALI  YA  MARANGU HOSPITAL  NA  HALI  ZAO  NI NZURI  

No comments:

Post a Comment