RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea
rasmi Rasimu ya Katiba Mpya ambayo itajadiliwa hapo baade na Bunge
maalum la Katiba. Rais Kiwete amepokea Rasimu hiyo kutyoka kwa
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba
katika Makabidhiano yaliyofanyika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es
Salaam leo. BOFYA HAPA KUSOMA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
No comments:
Post a Comment