MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 YAMETOKA BOFYA HAPA KUJUA SHULE ZILIZONGOZA PAMOJA KUANGALIA MATOKEO
![]() | MATOKEO CSEE 2013 |

UFAULU WAPANDA KIDATO CHA IV 2013.
Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.
Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).
shule zilizongoza hizi hapa
1. St.Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Boys (Pwani)
3. Feza Girls (Dar-es-salaam)
4. Precious Blood (Arusha)
5. Canossa (Dar-es-salaam)
6. Marian Girls (Pwani)
7. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
8. Abbey (Mtwara)
9. Rosmini (Tanga)
10. DonBosco Seminary (Iringa)
Matokeo ya kidato cha nne yametoka kutazama matokeo hayo hapa bofya hii link.. .http://www.necta.go.tz/
No comments:
Post a Comment