KIONGOZI blog

MIXING STORY

Pages

  • Home Burudani Taarifa Elimu Maajabu Mujanja

Sunday, April 13, 2014


KITU KINACHOSADIKIWA KUWA NI BOMU CHALIPUKA KATIKA BAR MAARUFU JIJINI ARUSHA

 
Habari tulizozipata hivi punde zinadai  kwamba mlipuko umetokea katika bar maarufu hapa jijini Arusha inayojulikana kwa jina la Arusha Night Park iliyopo maeneo ya mianzini.

sababu za mlipuko huo bado haziajajulikana na juhudi za kupata taarifa kutoka kwa kamanda polisi mkoa wa Arusha BW. Liberatus Sabas zinaendelea ili kutoa taarifa kamili

Mlipuko huu ni wa tatu kutokea jijini Arusha wa kwanza ni ule uliotokea katika kanisa la Mt. joseph mfanyakazi Olasiti na kusababisha vifo vya watu watatu na majeruhi kadhaa na tukio la pili lilitokea katika mkutano wa chadema uliokuwa ukifanyika katika viwanja vya soweto hapa jijini Arusha ambapo pia ulisababisha vifo pamoja na majeruhi

PICHA na taarifa zaidi zitakujia muda sio mrefu.
Posted by KIONGOZIGOD.BLOGSPOT.COM at 4:07 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

KIONGOZI GOD

KIONGOZI GOD
GT

ukihitaji Gari kununua gari bonyeza hapa

ukihitaji Gari  kununua gari bonyeza hapa
showroom ya magari

ZINAZOVUMA(popular post)

  • Kwa ajili ya wanawake pekee yao
    Kwa ajili ya wanawake pekee yao Nafahamu kuwa unafahamu kwamba mwanamke siku zote anachelewa kufika kileleni hali inayofanya waume/...
  • (no title)
      PICHA ZA LAANA YA “KANGA MOKO NDEMBE NDEMBE Mambo yanayofanywa na kundi la kanga moja ni ya aibu sana  kwa  sababu  ni ...
  • Picha za jinsi katibu mpya wa EAC alivyokaribishwa
    Jumuiya ya Afrika Mashariki  imeendelea na hatua yakubadilishana uongozi ambapo sasa hivi Katibu Mkuu Dr Richard Sezibera  kutoka Rwanda ame...
  • (no title)
    PICHA  ZA VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOKUTWA KWENYE MACHIMBO YA KOKOTO BUNJU   Kwa mujibu wa Radio One: Jeshi la Polisi wilaya ya Kinon...

Translate

About Me

My photo
KIONGOZIGOD.BLOGSPOT.COM
ARUSHA, ARUSHA, Tanzania
View my complete profile

Total Pageviews

KARIBU TENA AKSANTE. Picture Window theme. Powered by Blogger.