MTABIRI mwenye jina kubwa kwa sasa Bongo, Maalim Hassan Yahya Hussein
ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Yahya Hussein ameibuka wiki hii na
kuanika kwamba, Agosti mwaka huu Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu
watafunga ndoa.
Akizungumza na Amani jijini Dar es Salaam juzikati, Hassan alisema
amepiga mahesabu ya kinyota kwa wapenzi hao na kubaini kuwa, Agosti ndoa
yao itafungwa mahali popote nchini Tanzania.
Akaongeza: “Kama wapo kwenye mipango au maandalizi wakazane, kwani mwezi Agosti ndiyo wenyewe kwa mujibu wa nyota za wote.
Akaongeza: “Kama wapo kwenye mipango au maandalizi wakazane, kwani mwezi Agosti ndiyo wenyewe kwa mujibu wa nyota za wote.
No comments:
Post a Comment