
Kupitia mtandao huo Rais Kikwete anakamata nafasi ya kwanza akifuatiwa na Rais wa Togo Faure Gnassingbe, wa tatu ni King Mswati wa 3, namba nne ni Pierre Nkurusinza na nafasi ya Tano imeshikwa na king Mohammed wa Morroco.
Jana kupitia mtandao wa Twitter wananchi wengi wa Rwanda wameonekana kupinga tafiti hiyo, kwa kuwa rais Kagame hakuwa kwenye list hiyo.
CHANZO http://www.thechoicetz.com/2015/05/mh-kikwete-ndio-rais-handsome-kuliko.html
No comments:
Post a Comment