Monday, May 23, 2016

Mkapa katika kutatua mgogoro wa Burundi

Raisi mstaafu wa Tanzania Benjamini Wiliam Mkapa amefungua mazungumzo ya kutafuta suluihu katika mgogoro wa burundi ambao umedumu kwa muda mrefu

Mgogoro wa kisiasa wa burundi umekuja baada ya mgombea URAIS WA AWAMU YA TATU PIERE NKURUNZIZA kugombea tena mhula wa tatu kwa kuvunja katiba kinyume na taratibu
Mazungumzo hayo yameanza  May 21 ambapo yatatoa majibu ya mazungumzo hayop kesho may 24

No comments:

Post a Comment