Kuanzia Jana kulianza kusambaa taarifa za kifo cha mchekeshaji maarufu kwa jina la Kinyambe lakini taarifa ambaozo KIONGOZI BLOG ilizipata ni kwamba aliugua kwa muda wa miezi nane huko uyole mbeya
Baba mzazi wa marehemu Petro ameeleza kwamba aliugua kwa huo muda lakin wanaendelea na utaratibu za mazishi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment