Suala la sukari kupanda bei limemfikia Raisi Magufuli na
ameagiza wafanyabiashara wote walioficha sukari waitoe sukari ili waweze
kuiuza kwa wananchi la sivyo serikali itawagawia wananchi bure
President Magufuli amezungumza na wakazi wa Mkoa wa
Manyara wakati akitoka mkoani Dodoma kuelekea Arusha kwa kutumia usafiri
wa Gari
No comments:
Post a Comment