Wednesday, May 11, 2016

Taarifa za kufariki kwa msanii "KINYAMBE"


 MSANII WA VICHEKESHO KINYAMBE AFARIKI DUNIA

 
Msanii mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah  almaarufu "KINYAMBE" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko nyumbani kwao Mbeya.

Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitishia kuwa msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Image result for kinyambeKinyambe atakumbukwa zaidi kwa aina yake ya pekee ya uigizaji ambao amekuwa akkiigiza nao hivyo kufanya mashabiki wake kuongezeka siku hadi siku 

Mungu ailaze roho ya marehemu Kinyambe mahala pema peponi




Jimmy Mafufu with 
5 hrs · Instagram ·
NAKOSA MANENO SAHIHI YA KUELEZA LICHA YA KWAMBA WW NI MUIGIZAJI MWENZANGU LAKINI TULIKUWA TUNATOKA MKOA MMOJA KAMA WAIGIZAJI NA MABALOZI WAZURI WA MKOA MBEYA NIMEGUSWA MNO NA KIFO CHAKO KINYAMBE HUU NI MSIBA MKUBWA MNO KWA TASNIA YA FILAMU NA MKOA WANGU WA MBEYA KWA KUMPOTEZA MCHEKESHAJI MASHUHURI NA WA AINA YAKE KUWAHI KUTOKEA TANZANIA KWA MUDA MFUPI SANA ULIWEZA KULITEKA SOKO NA HISIA ZA WATANZANIA MUNGU ATUFUNGE MKAJA WA IMANI ILI TUSIWAZE MABAYA KISHA TUKAKUFURU ILA NIMEUMIA SANA REST IN PEACE KING OF COMEDY KINYAMBE

Vyanzo;lewis mbonde
          funguka live blog

No comments:

Post a Comment